Ufafanuzi wa mzikoziko katika Kiswahili

mzikoziko

nomino

  • 1

    mti ambao mizizi yake hutumika kutapishia mtu aliyesibiwa na sumu ya bunju au ya mshale.

Matamshi

mzikoziko

/mzikɔzikɔ/