Ufafanuzi msingi wa mzimu katika Kiswahili

: mzimu1mzimu2

mzimu1

nominoPlural mizimu, Plural mi

 • 1

  mahali ambapo huaminiwa kwamba vivuli vya wazee waliofariki zamani za kale hukutana na kusikiliza maombi ya watu wao walio hai wanaokwenda kuomba.

 • 2

  mahali pa kutambikia.

 • 3

  mahali ambapo panasadikiwa kuwa ni makao makuu ya pepo wakubwa katika pepo wowote wa wenyeji wa sehemu fulani, agh. huwa kwenye pango, mbuyu, mvule, mkuyu au mgandi.

  panga

 • 4

  roho au kivuli cha mtu aliyekufa.

Matamshi

mzimu

/mzimu/

Ufafanuzi msingi wa mzimu katika Kiswahili

: mzimu1mzimu2

mzimu2

nominoPlural mizimu, Plural mi

 • 1

  udongo mweupe unaotumika kupaka uso au mwili wa watoto jandoni.

Matamshi

mzimu

/mzimu/