Ufafanuzi wa mzinduzi katika Kiswahili

mzinduzi

nominoPlural mzinduzi

  • 1

    mtu ambaye anaanzisha jambo au kitu.

  • 2

    mtu anayewafahamisha watu waliozubaa.

Matamshi

mzinduzi

/mzinduzi/