Ufafanuzi wa mzingi katika Kiswahili

mzingi

nominoPlural wazingi

  • 1

    ndege aliye mdogo kuliko korongo lakini ana mdomo mrefu kidogo unaofanana na wa korongo.

Matamshi

mzingi

/mzingi/