Ufafanuzi msingi wa mzingo katika Kiswahili

: mzingo1mzingo2

mzingo1

nominoPlural mizingo

  • 1

    duara au mpindo wa kitu.

    mviringo, mzunguko

Matamshi

mzingo

/mzingɔ/

Ufafanuzi msingi wa mzingo katika Kiswahili

: mzingo1mzingo2

mzingo2

nominoPlural mizingo

  • 1

    harufu mbaya.

    uvundo

Matamshi

mzingo

/mzingɔ/