Ufafanuzi wa mziwaziwa katika Kiswahili

mziwaziwa

nominoPlural miziwaziwa

  • 1

    majani yanayotoa utomvu mweupe kama maziwa.

Matamshi

mziwaziwa

/mziwaziwa/