Ufafanuzi wa mzizimo katika Kiswahili

mzizimo

nominoPlural mizizimo

  • 1

    hali ya ubaridi wa hewa au kitu chochote.

    baridi

Matamshi

mzizimo

/mzizimɔ/