Ufafanuzi wa mzozo katika Kiswahili

mzozo

nominoPlural mizozo

  • 1

    hali ya kutopatana au kutosikilizana inayoleta mabishano ya maneno makali na kelele.

    ugomvi, ghasia, fihi

Matamshi

mzozo

/mzɔzɔ/