Ufafanuzi wa mzumere katika Kiswahili

mzumere

nominoPlural mizumere

  • 1

    samaki mwembamba aliye bapa na mpana mwenye mgongo katikati.

Asili

Kar

Matamshi

mzumere

/mzumɛrɛ/