Ufafanuzi wa mzungumzaji katika Kiswahili

mzungumzaji

nominoPlural wazungumzaji

  • 1

    mtu mwenye sifa ya kuweza kueleza mambo kwa namna nzuri na kwa kupendeza.

  • 2

    mtu anayeteuliwa kuwa msemaji mkuu katika mkutano au majadiliano.

Matamshi

mzungumzaji

/mzungumzaʄi/