Ufafanuzi wa mzungusho katika Kiswahili

mzungusho

nominoPlural mizungusho

  • 1

    tendo la kufanya kitu kuzunguka.

Matamshi

mzungusho

/mzungu∫ɔ/