Ufafanuzi wa mzuza katika Kiswahili

mzuza

nominoPlural wazuza

  • 1

    mtu mwenye ujuzi wa kutambua matokeo au sababu za ugonjwa kwa kutumia dawa za asili.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi wa kutambua sehemu zilizowekwa dawa mbaya za asili.

Matamshi

mzuza

/mzuza/