Ufafanuzi wa mzuzu katika Kiswahili

mzuzu

nominoPlural mizuzu

  • 1

    ndizi kubwa na ndefu kiasi ambazo hupikwa zikiwa mbivu au mbichi; mkono wa tembo.

Matamshi

mzuzu

/mzuzu/