Ufafanuzi wa naam! katika Kiswahili

naam!

kiingizi

 • 1

  neno la kuitikia wakati mtu anapoitwa.

  labeka!

 • 2

  tamko linaloonyesha kukubali; ndiyo!.

  haika!, twaib!, hasa!, amba!, barabara!, sawa!

 • 3

  neno litumikalo ili kuonyesha hamu ya kumtaka mtu anayesema aendelee na analoeleza.

Asili

Kar

Matamshi

naam!

/na a:m/