Ufafanuzi wa nadhifisha katika Kiswahili

nadhifisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kuwa safi.

Asili

Kar

Matamshi

nadhifisha

/naðifi∫a/