Ufafanuzi wa nadra katika Kiswahili

nadra

nomino

  • 1

    hali ya kutopatikana mara kwa mara au kwa urahisi.

    tukizi

Asili

Kar

Matamshi

nadra

/nadra/