Ufafanuzi wa nafaka katika Kiswahili

nafaka

nominoPlural nafaka

  • 1

    punje za mimea k.v. mtama, mpunga, mawele, mahindi au ufuta zinazotumiwa kuwa ni chakula.

Asili

Kar

Matamshi

nafaka

/nafaka/