Ufafanuzi wa nage katika Kiswahili

nage

nominoPlural nage

  • 1

    mchezo wa kuvipangua vibao saba kwa mpira na kisha kuvipanga tena kabla ya aliyevipangua kupigwa mpira.

  • 2

    ushindi katika mchezo huo.

    goli, bao

Asili

Khi

Matamshi

nage

/nagɛ/