Ufafanuzi wa naghama katika Kiswahili

naghama

nominoPlural naghama

  • 1

    sauti ya kimuziki.

    ‘Juma anaweza kuimba lakini naghama yake si nzuri’

Asili

Kar

Matamshi

naghama

/naɚama/