Ufafanuzi wa nahodha katika Kiswahili

nahodha

nominoPlural manahodha

  • 1

    mtu anayeendesha na kuongoza chombo kinachosafiri majini k.v. meli, jahazi au merikebu.

  • 2

    kiongozi wa kikundi cha michezo k.v. riadha au mpira.

    methali ‘Manahodha wengi chombo huenda mrama’
    kapteni

Asili

Kar

Matamshi

nahodha

/nahOĆ°a/