Ufafanuzi wa nai katika Kiswahili

nai

nominoPlural nai

  • 1

    ala ya muziki iliyofanana na filimbi lakini isiyo na matundu mengi.

Matamshi

nai

/naji/