Ufafanuzi wa nailoni katika Kiswahili

nailoni

nominoPlural nailoni

  • 1

    nyuzi za kughushi zinazotengenezewa nguo, nyavu au mishipi.

Asili

Kng

Matamshi

nailoni

/naIlOni/