Ufafanuzi wa naima katika Kiswahili

naima

nomino

  • 1

    kipeo cha furaha; hali ya heri kamili.

    raha

Asili

Kar

Matamshi

naima

/naIma/