Ufafanuzi wa nairuzi katika Kiswahili

nairuzi

nominoPlural nairuzi

  • 1

    sherehe za mwaka mpya wa Kiswahili wenye miongo 36 au siku 360.

Asili

Kaj

Matamshi

nairuzi

/naIruzi/