Ufafanuzi wa nanga katika Kiswahili

nanga

nominoPlural nanga

  • 1

    kitu kizito, agh. jiwe au chuma, ambacho hufungwa kwenye kamba au mnyororo na kutoswa majini ili kuzuia chombo kisichukuliwe na maji wala kujongeajongea.

    habta

Asili

Kaj

Matamshi

nanga

/nanga/