Ufafanuzi wa nasa katika Kiswahili

nasa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  shika kama mtego au kitu kinachonata kishikavyo.

  ‘Nasa panya wote ikiwezekana’
  kwama, kamata, gwia, bana

 • 2

  ‘Ukiniudhi nitakunasa vibao’
  piga, zaba

Matamshi

nasa

/nasa/