Ufafanuzi wa nasaba katika Kiswahili

nasaba

nominoPlural nasaba

  • 1

    uhusiano wa kizazi baina ya watu; uhusiano kutoka katika mlango au ukoo mmoja.

    ‘Taja nasaba yako’
    uzao, jadi

Asili

Kar

Matamshi

nasaba

/nasaba/