Ufafanuzi wa nasibisha katika Kiswahili

nasibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    husisha na; fanya kuwa moja na.

Asili

Kar

Matamshi

nasibisha

/nasibi∫a/