Ufafanuzi wa nawa katika Kiswahili

nawa

kitenzi sielekezi

  • 1

    safisha kwa maji viungo vya mwili k.v. uso, mikono na miguu ili kuwa safi.

Matamshi

nawa

/nawa/