Ufafanuzi wa nazi katika Kiswahili

nazi

nominoPlural nazi

 • 1

  tunda la mnazi lililozungukwa na kumbi, lenye maji na nyama nyeupe ndani ya kifuu.

  ‘Maji ya nazi yatafuta mvugulio’
  methali ‘Nazi mbovu harabu ya nzima’
  methali ‘Nazi ni tui la kwanza’
  methali ‘Nazi haishindani na jiwe’

Matamshi

nazi

/nazi/