Ufafanuzi wa ndakaka katika Kiswahili

ndakaka

nomino

  • 1

    upongoo wa mti unaokingama pau za nyumba.

    mtambaapanya

Matamshi

ndakaka

/ndakaka/