Main definitions of ndani in Swahili

: ndani1ndani2

ndani1

noun

 • 1

  sehemu ya kitu iliyofunikwa.

  ‘Ndani ya chumba’

 • 2

  uwazi ulioko katika kitu.

  ‘Geuza/pindua ndani iwe nje’

Pronunciation

ndani

/ndani/

Main definitions of ndani in Swahili

: ndani1ndani2

ndani2

adverb

 • 1

  katika mazingira ya.

  ‘Ndani ya chama’

Pronunciation

ndani

/ndani/