Ufafanuzi wa ndarire katika Kiswahili

ndarire

nominoPlural ndarire

  • 1

    maneno mengi, agh. ya kijanja na yaliyokiuka madhumuni hasa ya kinachozungumzwa au kuelezwa.

    ‘Anatoa ndarire nyingi zisizo na maana’

Matamshi

ndarire

/ndarirɛ/