Ufafanuzi wa ndaro katika Kiswahili

ndaro

nominoPlural ndaro

  • 1

    maneno ya kujisifu, kujigamba au ya kutishia.

    ‘Eleza bwana, usitufanyie ndaro nyingi’

Matamshi

ndaro

/ndarɔ/