Ufafanuzi wa ndaza katika Kiswahili

ndaza

nominoPlural ndaza

  • 1

    pombe iliyolazwa ili iwe kali zaidi.

Matamshi

ndaza

/ndaza/