Ufafanuzi msingi wa ndege katika Kiswahili

: ndege1ndege2

ndege1

nominoPlural ndege

  • 1

    kiumbe mwenye mabawa na manyoya ambaye agh. huruka angani.

    nyuni

Matamshi

ndege

/ndɛgɛ/

Ufafanuzi msingi wa ndege katika Kiswahili

: ndege1ndege2

ndege2

nominoPlural ndege

  • 1

    chombo cha angani cha kusafiria abiria au kusafirishia mizigo, chenye injini na mabawa.

    eropleni

Matamshi

ndege

/ndɛgɛ/