Ufafanuzi wa ndegembaya katika Kiswahili

ndegembaya

nomino

  • 1

    ishara au dalili mbaya.

    nuksi, mkosi, kisirani, uchuro, muholelo

Matamshi

ndegembaya

/ndɛgɛm baja/