Ufafanuzi wa ndenge katika Kiswahili

ndenge

nomino

  • 1

    mbuzi dume kabla ya kufikia ubeberu.

Matamshi

ndenge

/ndɛngɛ/