Ufafanuzi wa ndere katika Kiswahili

ndere

nomino

  • 1

    unga wa dawa utumiwao na waganga wanapofanya mambo yao ya mazingaombwe.

Matamshi

ndere

/ndɛrɛ/