Ufafanuzi wa ndi katika Kiswahili

ndi

kielezi

 • 1

  tele kabisa.

  ‘Alijaza sahani yake wali ndi’
  tele

 • 2

  kwa nguvu.

  ‘Funga ndi’

Matamshi

ndi

/ndi/