Ufafanuzi wa ndigana katika Kiswahili

ndigana

nomino

  • 1

    ugonjwa wa ng’ombe unaosababishwa na kupe ambao humfanya ng’ombe kuwa na homa kali na kutiririsha mate.

Matamshi

ndigana

/ndigana/