Ufafanuzi wa ndiva katika Kiswahili

ndiva

nominoPlural ndiva

  • 1

    dimbwi lililochimbwa ili kuhifadhi maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba wakati wa kiangazi.

Matamshi

ndiva

/ndiva/