Ufafanuzi wa ndizi katika Kiswahili

ndizi

nominoPlural ndizi

 • 1

  tunda la mgomba linalomea kwenye mkungu.

  ‘Ndizi kisukari’
  ‘Ndizi mzuzu’
  ‘Ndizi mshale’
  ‘Ndizi ng’ombe’

Matamshi

ndizi

/ndizi/