Ufafanuzi wa ndoo katika Kiswahili

ndoo

nominoPlural ndoo

  • 1

    chombo cha bati au plastiki kinachotumika kutilia na kuhifadhia vitu, k.v. maji, unga, maharage au mchele.

    zela

Matamshi

ndoo

/ndɔ:/