Ufafanuzi wa nduli katika Kiswahili

nduli

nominoPlural nduli

  • 1

    adui asiye na huruma.

    dhalimu, katili

Matamshi

nduli

/nduli/