Ufafanuzi wa nduru katika Kiswahili

nduru

nomino

  • 1

    kilio cha kuomba msaada.

    yowe

Matamshi

nduru

/nduru/