Ufafanuzi wa nduwari katika Kiswahili

nduwari, nduwaro

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya mzia.

  • 2

    samaki mwenye mwiro mrefu unaotangulia mdomo wake.

    samsuri