Ufafanuzi wa neema katika Kiswahili

neema

nomino

  • 1

    hali ya mafanikio au ustawi.

    baraka, ujazi, bahati, fanaka, heri, ghanima

Asili

Kar

Matamshi

neema

/nÉ›:ma/