Ufafanuzi wa nenepa katika Kiswahili

nenepa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na umbo pana na kubwa, agh. kutokana na mafuta mwilini.

    wanda, jaa

Matamshi

nenepa

/nɛnɛpa/