Ufafanuzi wa nengua katika Kiswahili

nengua

kitenzi elekezi

  • 1

    enda upandeupande kwa kuchezesha kiuno kwa makusudi.

  • 2

    cheza ngoma vizuri sana kwa k.v. kuchezesha kiuno.

    dengua

Matamshi

nengua

/nɛnguwa/